Madaktari wanapatikana sasa
Ongea na daktari kwa video
Kupitia simu yako, popote ulipo Tanzania.
Anza sasa- 1Andika jina na namba ya simu
- 2Weka namba ya uthibitisho utakayopokea kwa WhatsApp au SMS
- 3Daktari akiwa tayari, tutakutumia SMS yenye kiungo
Mazungumzo yako ni siri kati yako na daktari.